July 29, 2017

Mkopo wa viwanja maeneo mbalimbali - Dream Creators Real Estate Inc.

Dream Creators Real Estate Inc anakutangazia ofa ya uuzwaji wa viwanja vilivyopo kata ya Soga mjini, wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani! Soga kuna station ya reli na daladala zinafika! Umeme na maji vipo!

Viwanja ni mita  20x25 kwa kila kimoja!
Bei ni Tshs 1.5 million!
Malipo 30% kwanza na unapewa mkopo wa miezi 4 kumalizia deni!

Lakini pia..... 

Dream Creators Real Estate Inc inakutangazia ofa ya uuzwaji wa viwanja kwa mkopo vilivyopo Fukayosi, Kiwangwa, Bagamoyo! 

Viwanja ni mita 20x25 kwa kila kimoja!
Bei ni Tshs 1 milioni kila kiwanja!
Malipo 30% kwanza na unapewa mkopo wa miezi 4 kumalizia deni!

Tupigie simu: 0711 465 343