July 26, 2017

Nafasi za kazi 3,152 wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto.

Serikali kupitia Wizara ya Afya leo imetangaza nafasi za kazi 3,152. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11 Agosti mwaka huu.

Waziri Ummy Mwalimu anawatakia kila la heri waombaji wote.