Featured Posts

July 26, 2017

Mtoto wa miaka 11 achora ramani ya dunia (kutoka kichwani) kaweka mipaka pamoja na visiwa vyote.

Kama Biblia ilivyosema kwamba nyakati za mwisho maarifa yataongezeka.
Mtoto huyu raia wa Marekani aliwaacha watu hoi baada kuchora ramani ya dunia huku akiweka mipaka katika kila nchi pamoja na kila kisiwa, kutoka kichwani bila kuangilia ama kunakili popote pale.