July 20, 2017

Refa awatwanga wapiganaji ngumi. Kisa chote kiko hapa. (+video)

Mchezo wa judo ni kati ya michezo mizuri ambayo vijana wengi wamekuwa wakiipenda na kujipatia kipato. Mchezo mmoja huko barani Asia refa alikosa uvumilivu na kuingia kupigana na wapiganaji baada ya wapiganaji hao kutotii maamuzi yake.