July 10, 2017

Wazee nao hawapiti na fashion, Mzee wa miaka 80 na swaga zake.

Wang Deshun ni muigizaji na mwanamitindo kutoka china ambaye anajali mwili wake kwa kufanya mazoezi na kula mlo sahihi unaomfanya aendelee kuwa na mwili mzuri japo anamiaka 80 na hizi ndizo picha alizokua akifanya modaling katika tamasha la China Fashion Week la wiki iliyopita.