August 8, 2017

Dear kijana, pokea ujumbe huu toka kwa Bony Kazi. (inatuhusu)

"Mimi ni kajana na nina ndoto nyingi za kuzifikia, ila wapo vijana kama mimi waho wapo tuu na hatahawajijui kuwa wao nikinanani.

Huwa inahuzunisha sana pale unapomkutuka kijana yupo tuu maskani na hana shughuli ya kufanya wakati huo ni mzima wa afya kabsa huko nikujiendekeza.

Kabla aujajua wewe ni nani na unaitajika kufanya nini huwa inachukua muda sana mtu kufahamu kuwa yeye ni shujaa.

Usitamani kujua nilivyo ila utamani kujua nimetoka wapi na nini changamoto gani nimepitia. Vitu vizuri huwa haviji hivi hvi tuu lazima upambane ili uwe unavyotakaa. 

Kiukwel Mungu ni mwaminifu siku zote amenifanyia Amani, Baraka na Heshima. Kuna maisha lazima upitie ili ulifike mahali fulani.

Amka simama shangilia wewe ni shujaa."
"The size of your success is measured by the strength of your desire; the size of your dream; and how you handle disappointment along the way." #Finest #BeignBonyKazi #Photographer #Videographer #GraphicsDesinger #ManHimSelf #Photogenic" Aliandika Bony Kazi kupitia account yake ya instagram.