Featured Posts

August 4, 2017

Askofu Gwajima kuleta private jet mpya Tanzania.

"I will soon  bring  this Jet to Tanzania for purpose of advertising the kingdom of God! Its the hour of life and Resurrection in the World!" Maneno hayo ameyasema Askofu Gwajima kupitia page yake Facebook.
Kwa kiswahili

Isikupite hii: Hizi ni gharama zilizojificha ambazo zinakuzuia wewe kufikia utajiri.
"Hivi karibuni nileta jet hii Tanzania kwa lengo la kuutangaza ufalme wa Mungu, Ni wakati wa ufufuo na uzima dunia"