Featured Posts

August 6, 2017

Badilisha laini yako ya vodacom kuwa ya chuo.

Kama ulikua unaitafuta fursa ya kujisajili kwa huduma ya Uni bundles hujachelewa. Vodacom wamekuletea tena fursa ya kusajili line yako ili uweze kupata ofa ya vifurushi vya mwanachuo.

Isikupite hii: Hizi ni gharama zilizojificha ambazo zinakuzuia wewe kufikia utajiri.

Jinsi ya kujisajili.
Bofya hapo chini neno, soma maelekozo vyema kisha jaza taarifa zako zinazohitajika hapo kisha "submit"