August 10, 2017

Hii ndio biskeli ya kijanja zaidi duniani (+video & pichaz)

Kwa sisi wapenzi wa baiskeli na tecknolojia "Trefecta" ndio baiskeli ambayo inatumiza kichwa kila kukicha, uwezo wake, kali na yakijanja zaidi. Lakini ina ingini ukichoka kunyonga unateleza kama pikipiki. 
Tazama video hapa chini.
Time For Trefecta from Trefecta Mobility on Vimeo.