• Isikupite Hii

    August 1, 2017

    Tazama video ya mtoto wa miaka 4 Kanon Tipton akihubiri injili.

    Sina maneno mengi ya kusema, ila ningependa na wewe upate fursa ya kuitazama video hii ya Kanon Tipton, mtoto mwenye umri wa miaka 4 tu, akihubiri Injili