Featured Posts

August 3, 2017

Throwback: Nimekusogezea picha 5 za Tb Joshua akiwa nyumbani kwa mh. Lowassa.

Kuna habari nyingi zinazoenea katika mitandao ya kijamii kuhusu ujio wa Muhubiri wa kimataifa Tb Joshua hapa nchi.

Tb Joshua aliingia jana, baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Mwl. Jk Nyerere, Rais mteuli wa Ccm Dk. John Pombe Magufuli alienda kumpokea na kisha Tb Joshua alikaribishwa Ikulu. 

Baada ya hapo Tb Joshua alielekea moja kwa moja nyumbani kwa Mh. Lowassa.