August 7, 2017

Sylverster Stallone A.K.A Rambo akiri wokovu na kumpokea Yesu.

Mwigizaji maarufu wa kimarekani Sylvester Stallone maarufu kama Rambo aliefanya uamuzi wa maana sana maishani kwake na kutangaza kwamba amempokea Yesu kama bwana na mwokozi maishani kwake.

Rambo alifanya uamuzi huu kabla ya kuachia movie yake ya Rocky. Alitangaza adhalani, chakushangaza ni kwamba media azikusambaza sana habari hii. Lakini angejitangaza kwamba yeye ni shonga media, tv shows na magazeti yangesambaza habari ipasavyo.