August 5, 2017

Tambua vyazo 10 vya kuharibika kwa mimba

ZIFUATAZO NDIZO SABABU MAARUFU AMBAZO ZINASABABISHA KUHARIBIKA KWA MIMBA 

1. Fetus/embroy anakuwa hana mfumo mzuri wa ukuaji chromoses inakuwa haipo kwenye hali ya kawaida ni abdnomal hapo inaadhiri mfumo mzima wa mimba na kupelekea kuharibika. 

Isikupite hii: Je unataka upate mtoto wa kiume? Au wa kike? soma hapa

2. Magonjwa sugu-mama anapokuwa na magonjwa sugu kama kisukari ,moyo au rheumatoid Infection-U.T.I,magonjwa ya zinaa kama kaswende n.k epuka magongwa ya infections. 

3. Mapungufu kwenye uterus-uterus ya mama inapokuwa na matatizo kama uvimbe (fibroid), makovu au vidonda, Hormonal imbalance-homoni za mama zinapokuwa hazipo kwenye uwiano( balance) kunasababisha kuharibika kwa mimba.

4. Uzito mkubwa (unene) / uzito mdogo unachangia mimba kuharibika na unaweza mfanya mama akapoteza maisha yake pia.

5. Miscarriage zaidi ya mara 2.
Mama aliepata miscarriage zaidi ya mara 2 anauwezo mkubwa wa kuharibika kwa mimba yake kila ashikapo.

6. Kutoa mimba.
Mwanamke anapotoa mimba mara kwa mara kizazi chake kinakuja shindwa kuhimili kubeba ile mimba kwa miezi 9, na kumfanya kila ashikapo ikifika miezi flani inatoka tu yenyewe sehemu za uzazi zinakuwa zimeshalegea.

7. Matumizi ya Pombe, Sigara, Bangi, Madawa ya kulevya vyote vinaleta miscarriage.

8. Ajali
Mama kama amepata ajali akagonga maeneo ya tumbo au kupata mshtuko mkubwa basi ni rahisi mimba kuharibika.

9. Caffein 
Mama anapotumia kahawa kwa wingi, soda au cocacola anaharatarisha kuharibu mimba Msongo(stress) 

Isikupite hii: Dawa ya kutokwa na uchafu mweupe ukeni.

10. Mimba za utoto au uzeeni.
Binti anaposhika mimba akiwa mdogo chini ya miaka 18 inahatari ya kuharibika sababu vizazi vyake havipo tayari kumudu kubeba mimba kwa miezi 9, ni sawa na mwanamke mwenye miaka 40 anahatari ya miscarriage sababu vizazi vyake havina nguvu tena za kumudu mimba kwa kipindi cha miezi 9.