• Isikupite Hii

    August 9, 2017

    Ushindi wa Real Madrid UEFA Super Cup vs Man United (+video)

    Real Madrid ambao walianza game bila uwepo wa staa wao Cristiano Ronaldo aliyeingia dakika 8 za mwisho, wamefanikiwa kupata Ubingwa wa UEFA Super Cup kwa kuifunga Man United kwa magoli 2-1, magoli ya Real yakifungwa na Casemiro dakika 24, Isco dakika ya 52 na Man United walipata goli la kufutia machozi kupitia kwa Romelu Lukaku dakika ya 62.