September 2, 2017

Kutana na muuza karanga ambaye huvaa suti akiwa kazini. (+picha)

Isa Kebbi ni muuza karanga jijini Abuja, Nigeria ambaye huvaa suti akiwa kazini. Amemwambia mwandishi wa BBC kuwa hununua gunia moja la karanga kwa mkopo kila mwezi na hupata faida ya takriban dola 19. Heshimu na uipende kazi yako.