October 17, 2017

Hekima kutoka mji wa mashujaa!

Kila uchaguzi una madhara yake! Ukichagua kuwa maskini ujue kuwa utakabiliwa na madhara ya kuwa maskini! Na ukichagua kuwa tajiri utakabiliwa na madhara ya kuwa tajiri! Nadhani ni bora kuchagua kuwa tajiri kwa sababu madhara ya kuwa maskini ni makubwa zaidi kuliko madhara ya kuwa utajiri!

Siku njema! - Job Mkama