October 5, 2017

Hawa ndio waimbaji wanao-mkwaza Masanja Mkandamizaji (+audio).

Mwimbaji, Mfanyabiashara, Mchungaji na mkali wa comedy hapa nchini Emmanuel Mgaya A.K.A Masanja Mkandamizaji ameibuka na hii nyingine mpya na kusema kwamba kuna baadhi ya waimbaji katika matamasha mbalimbali huwa wanamkwaza sana kutokana uimbaji wao. 

Soma: Masanja Alivyo-mvunja Mbavu Mhe Magufuli Ikulu.(+video)

Msikilize hapa chini akizungumza..

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.