October 4, 2017

Sifa 10 za mke wa mtumishi - Peter Mitimingi.

Semina ya wachungaji na wake zao dar es salaam!
Nabii na abigaili (1 samweli 25:1-42)

1. Lazima awe ni mwenye hekima.
2. Lazima awe msafi wa mwili na mzuri wa uso.
3. Lazima awe tayari kujihatarisha kwajili ya kulinda huduma ya mume wake.
4. Lazima awe ni mwenye kujiamini kihisia.
5. Lazima awe mkarimu.

Isikupite hii: Mistari 7 ya Biblia itakayo kuinua kwenye siku mbaya.

6. Lazima awe mnyenyekevu wa kweli.
7. Awe tayari kuokoa uhai wa familia yake.
8. Awe na moyo wa toba hata kwa makosa yasiyo yake,
9. Awe na mtazamo wa kuona mbele
10. Awe tayari kupokea na kuzitunza baraka kutoka kwa Mungu.