October 18, 2017

Mwanamke sahihi na wa kweli ni mwenye sifa hizi 20.

Mwanamke bora yaani nini maanisha aliye sahihi ni yule mwenye moyo safi kwa mume wake 

1. Hawazi mabaya bali mema kwa mume wake 

2. Hawezi kumtendea mume wake mabaya 

3. Hawezi kumuumiza mume wake 

4. Hawezi kumtonesha vidonda mume wake 

5. Hawezi kuumsaliti mume wake 

6. Hawezi kumtendea yasiyo haki mume wake 

7. Hawezi kumchafua mume wake na kumdharirirsha katika jamiii iliyowazunguka 

8. Hawezikumtukana Mume wake 

9. Hawezi kushabikia maumivu na mateso ya Mume wake 

10. Hawezi kuwa radhi na maadui wa Mume wake 

11. Hawezi kuwa jeuri kwa Mume wake 

12. Hawezi kumtendea Mume wake mabaya. 

13. Amejaa heshima kwa Mume wake 

14. Adabu 

15. Utu wema anatunza uthamani wa Mume wake 

16. Hii muhimu sana,  Amejaa utiifu, uvumilivu na upole kwa Mume wake 

17. Amejaa unyenyekevu na uaminifu kwa Mume wake 

18. Amejaa amani na furaha ya kweli kwa Mume wake- 

19. Anayeshinda uovu kwa wema 

20. Mwenye upendo wa kweli kwa mume wake. 
Huyu ndiye Mwanamke unayeweza kumuowa au kuishi naye na ndio sifa ya Mwanamke anayehitajika katika maisha yako. Mwanamke huyu ataheshimika na kuthaminiwa na watu na hatakosa upendo wa dhati kutoka kwa Mume wake.