October 30, 2017

Picha 20 za harusi ya Joti alivyopendeza na kiduku chake.

Mchekeshaji maarufu wa Tanzania Wa kundi la Orijino komedi Lucas Muhavile ‘Joti’ amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi ambae mwenyewe anasema ni Mwanamke aliemvumilia na kuishi nae vizuri sana.