October 30, 2017

Tendo la ndoa hudumu kwa muda gani? Wanasayansi wana jibu hili.

Na sasa wanasayansi wamekuja na jibu halisi kuwa kitendo cha ngono hudumu kwa dakika 5.4. Wanasayansi hawa wanazungumzia ule muda ambao mwanaume na mwanamke huwa tendoni na kufikia kileleni, bila kuweka muda wanaotumia kushikana, kubusiana au kuchezeana.

Wanasayansi hao walifanya utafiti kwa couple 500 na kuwaweka stop watch pale tu kitendo kinapoanza hadi pale mwanaume anapoutua mzigo. Utafiti huo ulibaini kuwa kitendo hicho hudumu popote kuanzia sekunde 33 na 44 huku muda wa wastani ukiwa dakika 5.4.


Tazama video: Lulu ashindwa kuzuia hisia zake na kusema haya baada ya kukutana na Abwene Mwasongwe