October 30, 2017

Uzuri wa mwanamke sio sura au shepu, huu hapa ndio uzuri wake.

Mwanamke hawi mzuri kwa sababu ana sura nzuri au shepu namba nane. Mwanamke ni mzuri kama anahofu ya Mungu na ana humble spirit. Hio ndio alama ya uzuri wa mwanamke.

Usituoneshe catwalk, usituoneshe namna ulivyo na shepu..tuoneshe upendo wako kwa Mungu. Ni bora tukawa peke yetu na Mungu wetu kuliko kuwa na mwanamke ambae anafikiri muonekano wake wa nje ni muhimu zaidi kuliko mahusiano yake na Mungu..we will be smart when it comes to dating 💯💯💯

Nothing attracts than the swag of the woman who worship and praise Lord...it's really romantic to have her around!

Mwalimu Tweve Hezron.