October 10, 2017

Mambo 8 ambayo mtoto anatakiwa kusikia toka kwa wazazi.

1. Nakupenda.

2. Nakuamini.

3. Unaweza.

4. Najivunia kuwa Baba/Mama yako.

Soma: Tabia 8 Za Watu Wapole

5. Nakusikiliza.

6. Una kila kinachohitajika.

7. Ninakusapoti Kwa Kila Hali.

8. Wewe ni Mrembo/Mtanashati.