November 29, 2017

Simu ya rais yatoa kelele za watu wakifanya mapenzi mahakamani (+video)

Moja ya habari ambazo zimeandikwa sana na vyombo vya habari vya kimataifa ni pamoja na hii inayomhusu Rais wa Bolvia Evo Morales.

Isikupite Hii: Madhara Ya Kutazama Picha Na Video Za Uchi.

Rais Evo Morales akiwa mahakamani kwenye kikao pamoja na wanasheria wa kimataifa alianza kuchezea simu yake ambapo ghafla zilisikika sauti za watu wakifanya mapenzi kwenye simu yake. 

Tazama video hapa chini.