December 29, 2017

Jinsi ya kupata pesa kutoka Blog yako.

Kuna njia nyingi tofauti za kupata fedha kwenye mtandao, hii ni orodha ya fursa unazoweza kuzipata kama una blog yako binafsi.

Pata pesa kwa kutumia Blogu yako, Kwa kutoa taarifa sahihi kwa wakati muafaka, na kwamba watazamaji wakafurahia habari zako. Blogu ni nzuri kama utaandika vitu ulivyo na ujuzi navyo.

1. Advertising
Programu kama Adsense au Media.net ni maarufu sana kwa wana blogu na ni moja kati ya njia inayotumia na wengi kupata
kipato. Makampuni maarufu hapa nchini ni kama seebait, pinpoint na kwanza ads. Kwa kujiunga na Google Adsense au Media.net, utapata fursa ya kupata matangazo katika blogu yako na utalipwa
kutokana na hayo matangazo.

2. Affiliate Programs
Kuna mitandao mingi ya affiliate, kama vile Amazon, Linkshare, Clichbank na Commission Junction, ambao wanaruhusu kukuza
bidhaa na huduma za watu wengine. Unachotakiwa kufanya ni kuweka link au tangazo katika page yako na utapata malipo
kama mtu ata-click hiyo link au kununua bidhaa au huduma.

3. Udhamini
Inahusu bidhaa maalum,bidhaa au huduma. Kampuni itakulipa kwa kuchapisha makala yao katika blogu yako.

4. Selling Subscriptions
Ili kufanikiwa kwa hili, inakupasa uwe na maudhui ya kipekee na uwe na utaalam kuhusu mada husika.