December 31, 2017

List ya mastaa 10 wa soka England wanaolipwa mishahara mikubwa.

England ni miongoni mwa Ligi Kubwa Ulaya lakini ni miongoni pia mwa Ligi za Ulaya zenye mashabiki wengi ukanda wa Afrika husani Afrika Mashariki, inawezekana kuna mambo mengi ambayo huyafahamu katika Ligi Kuu England.

TOP 10 ya mastaa wa soka wanaolipwa mishahara mikubwa kwa wiki Ligi Kuu England

1- Paul Pogba analipwa pound 290000/Tsh 872,087,739 (ManUnited) 

2- Romelu Lukaku pound 250000/Tsh 752,068,375 (ManUnited)

3- Sergio Aguero pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManCity)

4- Yaya Toure pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManCity)

5- Zlatan Ibrahimovic pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManUnited)

6- Kelvin De Bruyne pound 200000/Tsh 601,609,900 (Man City)

7- David Degea pound 200000/Tsh 601,609,900 (ManUnited)

8- Eden Hazard pound 200000/Tsh 601,609,900 (Chelsea)

9-Virgil van Dirk pound 180000/Tsh 541,448,910 (Liverpool)

10- Philippe Coutinho pound 180000/Tsh 54,1448,910 (Liverpool)