December 6, 2017

Mambo 5 ambayo mwanamke anapaswa kujiambia kila siku.

1. Wewe ni mrembo.

2. Wewe ni jasiri.

3. Jipende, wewe niwa kipekee umeubwa na Mungu, Mungu hafanyi makosa.

4. Taabasamu.

5. Tulia, vuta pumzi, pumzika.
Sikio lazima uwe na kila kitu au mambo yanaenda vizuri kila wakati, kuna nyakati mambo yanagoma na hakuna njia ama namna ya kuyageuza mambo ayo. Yaache yaende wewe tulia, pumziki na uongee wakati wako toka kwa Bwana.