December 6, 2017

Mambo 6 yatakayo mfanya mmeo akupende zaidi - Ladies.

1. Muamini mmeo au mchumba wako.

2. Usikatishe tamaa katika maono yake.

3. Usimlazimishe kupenda mambo unayoyapenda.

4. Usipange kumbadilisha.

5. Usidhani kwamba hawezi kutambua uwepo na uzuri wa wanawake wengine.

6. Usilazimishe kuwajibika juu ya mambo yako.
Kama vile kwenda saluni, umeme, vocha na mambo mengine hasa kama bado mko katika mchakato wa uchumba, kama atafanya hivyo mwache afanye mwenyewe msimlazimishe eti kwa sababu shosti wako huwa anafanyiwa hivyo na wewe unataka, ladies huo ni utoto. 

Tazama video: Majaribu ofisi ya Mchungaji, nyie wadada Mungu anawaona!