December 2, 2017

Fahamu faida 17 za kufanya mazoezi.


Mazoezi ni kitu muhimu sana kwa ajili ya afya kila mtu. Kwa mujibu wa ali mzige kutoka kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi  kwa baba, mama, mtoto na vijana amesema, ziko faida nyingi ambazo unaweza kuzipata kwa kufanya mazoezi.

Siku hizi wetu hawafanyi mazoezi ndio maana wanaandamwa na magonjwa mbalimbali. Zifuatazo ni faida za kufanya mazoezi:

1. Huasidia kupunguza uzito.

2. Huimarisha mifupa.

3. Hupunguza shinikizo la damu.

4. Mazoezi huondoa sonona (depression)

5. Mazoezi hupunguza makali ya ugonjwa wa pumu.

6. Hupunguza kisukari.

7. Mazoezi husaidia ukuaji wa mimba kuwa mzuri kiafya.

8. Mazoezi pia husaidia kuzuia maradhi ya saratani (cancer) au  ugonjwa wa kaa.

9. Hukusaidia usizeeke.

10. Huboresha afya ya ubongo.

11. Husaidia na kuborsha uwezo wako wa kufanya tendo la ndoa.

12. Mazoezi huboresha mfumo wako wa kupata usingizi. 

13. Mazoezi hutibu upungufu wa nguvu za kiume pamoja  na  nguvu za kike.

 14. Mazoezi husaidia kuzuia kiharusi (stroke).

15. Huboresha  upatikanaji wa hewa safi na virutubishi kwenye  seli zote katika mwili wako.

16. Mazoezi yanakuwezesha kuboresha nguvu za misuli yako  na  kazi za joint zako.

17. Mazoezi ya mwili husaidia viungo kutibu joint zako.