December 4, 2017

Nyumba inauzwa, Ipo maeneo ya Kimara, Bonyokwa.

Habari nyumba hii inauzwa kwa gharama nafuu kabisa, nyumba ipo kwenye kiwanja cha 20 kwa 18, ina sebule, dining (mahali pa kulia chakula), jiko, vyumba viwili, choo na bafu na masta room moja. Ipo maeneo ya Kimara bonyokwa mwisho wa magari, baa mpya. wasiliana nami kwa 0753654555 ama whatsapp 0655043443.