January 8, 2018

Baadhi ya katuni kali kutoka kwa Masoud Kipanya - 'AMESAIDIA'.

Moja kati ya habari zilizotrendi katika mitandao ya kijamii hivi karibuni ni pamoja na tetesi za kukamatwa kwa Masoudi kipanya.
Lakini baada ya muda alijitokeza na kusema "Poleni kwa usumbufu na asanteni  kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa. 
'AMESAIDIA'."
Leo tumekukusanyia kwa pamoja baadhi za Masoud kipanya.