January 11, 2018

Blog bora za Tanzania, unazopaswa kuzijua .

Kwa kipindi cha miaka miwili sasa, blogi zimekuwa mojawapo ya vyanzo bora vya habari nchini Tanzania. Pamoja na ongezeko la watumiaji wa mtandao na upatikanaji rahisi wa internet watu wengi sasa wanatumia mtandao kama chanzo cha habari.

Naweza hata kusema kwamba, blogi za Tanzania sasa zinatishia kuwepo kwa Medias nchini Tanzania.

Blog za burudani na muziki.
1. MillardAyo
2. Bongo5
3. Bekaboy
4. Globalpublishers
5. Mkito.com

Blog zinazohusu mahusiano, mafanikio na maisha. 
1. Timheaven.
2. Saikolojia.
3. Chrismauki
4. Amka Tanzania

Blog za mitindo 
1. 8020 Fashion
2. Bintiesque.com
3. Missie Popular
4. Jestina George Blog
5. MASHUGHULI BLOG

Blog za habari.
1. Mpekuzihuru.
2. Mwananchi
3. Swahilitimes
4. Dar24
5. Michuzi blog

Blog za michezo.
1. Shafih Dauda
2. Tanzaniasports
3. Mwanaspoti
4. Saleh Jembe
5. Michezoplus.com

Blog za kutafuta ajira.
1. ZoomTanzania
2. Ajira.go.tz 
3. Jobstanzania.net 
4. Kazibongo
5. Brightermonday.co.tz

Forums
1. JamiiForums
2. Jukwaalasiasa.com
3. TSSFL Forum

Blog za ubunifu katika uandishi
1. Nancylazaro.com
2. Fadhymtanga.com