January 6, 2018

Downlaod wimbo mpya: Ng'ang'ania - Y.O.M

Hello! Leo tena tumepata fursa ya kukusogezea wimbo mpya kabisa kutoka katika kikundi maarufu cha wanaharakati wa muziki wa injili katika midundo ya ki-hip hop Y.O.M (Yeso Okoa Mitaa) wakiongozwa na Rungu La Yesu.

Wimbo unaitwa Ng'ang'ania, wanaharakati utakao wasikia katika wimbo huo ni Sir.Mbezi, Rungu la Yesu Dona, Bishop Abra, Magele winner, Baba Zedeki, Morefire na Eric David.