January 27, 2018

Download wimbo: Nipe macho - Christina Shusho.

Habari, leo tena ninayo furaha kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa Christina Shusho, kama wengi tunavyoamini na kufahamu kwamba kwa sasa Christina Shusho ndiye mwimbaji bora wa muziki wa injili East Africa. Wimbo unaitwa Nipe macho - Christina shusho.