January 29, 2018

Download wimbo: Sitabaki kama nilivyo - Ruby (Remix)

Sitabaki kama nilivyo(MP3) ni moja kati ya nyimbo za injili zilizotamba sana mwaka jana, wimbo huo umeimbwa na Joel Lwaga na remix hii imefanywa na Ruby ambaye ni msanii wa Bongo fleva, unaweza kudownload wimbo huo hapa.