January 17, 2018

Download wimbo wa Taifa - Mungu ibariki Tanzania.

Mungu ibariki Afrika
Wabariki viongozi wake
Hekima umoja na amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake

Ibariki  Afrika
Ibariki  Afrika
Tubariki watoto wa Afrika

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na umoja
Wake kwa waume na watoto
Mungu ibariki
Tanzania na watu wake

Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania