January 2, 2018

Ishara zinazoonyesha kama UKE wako umelegea au umekuwa mkubwa.

1. Kama ukiingiza kidole chako ukeni inakuwa vigumu kukibana kwa uke wako

2. Unapokuwa bado hujapata hamu ya kufanya mapenzi,uke wako (tundu ambalo uume huuingia) linakuwa wazi yaani hupati pingamizi lolote ukiingiza kidole.

3. Unaweza kuingiza vidole vitatu au zaidi ndani ya uke wako bila kipingamizi kikubwa.

4. Unapata shida kubwa kufika kileleni.