January 8, 2018

Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi  gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae. Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache.

Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini 

8. Mwenye mawazo mapana 

9. Muwazi na mkweli  

10. Anayeridhika      

11. Aliyeshupavu na jasiri

12. Mwenye huruma

13. Anaesamehe

14. Hadhi na heshima

15. Hisia ya uadilifu.