January 12, 2018

Tabia 15 rahisi za mtu mwema na mzuri.

Kuwa mtu mwema sio jambo ngumu, lakini haitokei tu, kwamba paap! umekuwa mtu mwema. Kama vile katika mambo mengine lazima ufike hatua ya kutaka kuwa mtu mwema katika jamii inayokuzunguka na ufanye chaguzi ambazo zitakupelekea kuwa mtu mwema. Haijalishi watu wanakusemaje ama wanakuonaje sasa hivi, bado unaweza kufanya mabadiliko katika maisha yako na kujenga heshima katika jamii. Hizi hapa ni tabia 15 rahisi za mtu mwema na mzuri

1. Wao ni waaminifu katika mahusiano.
2. Hupongeza watu wengine wanapofanya vizuri kuliko wao.
3. huwasiliana na wazazi wao mara kwa mara.
4. Ni wapole
5. Wao ni wema kwa kila mtu.
6. Ni wakarimu sana.
7. Wana adabu na heshima.
8. Wanafikiria wengine.
9. Wao ni wavumilivu.
10. Sio watu wa mizaha mizaha mingi.
11. Wanaenda umbali zaidi.
Unapohitaji msaada na mambo yakigoma hawakimbii, wanasimama na wewe mpaka mwisho wa hilo jambo.
12. Hutabasamu