January 30, 2018

Wanafunzi 10 bora waliofanya vizuri na shule wanazotoka - Matokeo ya kidato cha nne 2017/2018.

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017.


Watahiniwa 10 waliofanya vizuri na shule wanazotoka ni kama ifuatavyo;

1.Felison Mdee -Marian boys
2.Elizabeth Mango -Marian girls
3.Anna Benjamin Mshana - Marian girls
4.Emanuel Lameck Makoye -Ilboru
5.Lukelo Thadeo Luoga-Ilboru
6.Fuadi Padic -Feza Boys
7.Godfrey Mwakatage -Uwata
8.Baraka Mohammed -Angels
9.Lilian Moses Katabaro -Marian girls
10.Everlyn Moses Mlowe -St. Fransis Mbeya