January 29, 2018

Zijue njia zitakazo saidia mtoto kucheza tumboni.

Mama mjamzito hupata furaha pindi asikiapo mtoto anacheza katika tumbo lake kwa mara ya kwanza, na mtoto huanza kucheza wiki ya 24 sawa na miezi (5-6), ila kwa wale walio kwisha wahi kupata anaanza kuona akicheza akiwa wiki ya 18-22.

Mtoto anatakiwa kucheza mara 6 -10 ndani ya saa (1hr) ile miezi 3 ya mwisho,na ile miezi 6 ya mwanzo kucheza kwake sio sana. Kipindi cha usiku ndio muda wa mtoto kupigapiga tumbo la mamaye kuliko mchana, hii ni baada ya mama kula.

Hizi ni baadhi ya sababu zinazompelekea mtoto kuto kucheza.
(i)Kukosa nguvu za kutosha kutokana na lishe duni ya mama yake.
(ii)Mtoto hapati hewa ya kutosha kutoka kwenye placenta.
(iii) Mama anapotembea sana au kusimama kwa muda mrefu,kuna mfanya mtoto analale na kumfanya asicheze.
(iv)Mama anapokuwa na maradhi au matatizo ya kiafya, hudhoofisha afya ya mtoto na kukosa nguvu.

Hizi ndiyo njia zitakazo mfanya mtoto acheze tumboni
1. Mama anapohisi mtoto yupo kimya anaweza
2. Kunywa maji ya baridi.
2. Kunywa juice – Juice ni kumiminika lichokuwa na maji
3. Kunywa maji baridi sana pia lala ubavu wa kushoto
4.Nyoosha miguu juu ya kitu- Fanya hivyo ukiwa umekaa chini.