January 13, 2018

Zitambue faida 5 za karanga mwilini

Unaweza ukazidharau karanga, lakini zina faida kubwa mwilini. Miongoni mwa faida zake ni pamoja na
1. Kuimarisha afya ya moyo

2. Hupunguza kolestro mbaya mwilini na kuongeza kolestro nzuri.

3. Mafuta mazuri yaliyomo kwenye karanga hupunguza shinikizo la juu la damu

4. Huponya magonjwa ya moyo

5. Hupunguza uzito. Faida zote hizi unaweza kuzipata kutoka kwenye karanga au siagi iliyotengenezwa kutokana na karanga (peanut butter). (unashauriwa kula kiasi kadhaa kila siku, hasa za kuchemsha ndiyo nzuri).