February 1, 2018

Hii ndio mikoa iliyoongoza kwa kiwango cha ufaulu kidato cha nne 2017/2018.

January 30 2018 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2017’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2017.

Na hii ndio orodha ya mikoa iliyoongoza kwa kiwango cha ufaulu kidato cha nne 2017/2018.