February 4, 2018

Huu ndio umri ambao binadamu anakuwa na furaha zaidi - Utafiti.

Utafiti mpya umebaini kuwa kilele cha furaha kwa binadamu kipo pale anapokuwa na miaka 20 na! Hata hivyo watafiti hao pamoja na kudai kuwa kipindi kigumu zaidi ni wakati mtu ana miaka 10, kuna matumaini bado.

Utafiti wao umebaini kuwa maisha hurejea tena kuwa ya furaha kwenye umri wa miaka 65! Swali ni wangapi watafika umri huo?

Dr Ioana Ramia, wa chuo kikuu cha New South Wales cha Australia, alisema: ‘Satisfaction over life decreases from the early 20s, plateaus for about 40 years and then increases from about 65 up.’

Lengo la utafiti huo ulikuwa ni kusaidia kutengeneza sera za kulenga makundi maalum kuzingatia umri.