February 10, 2018

Majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo ya mishahara.

Leo February 10, 2018 Wizara ya Fedha na Mipango imetangaza Watumishi wa Umma waliokuwa na madai nimekuwekea orodha ya majina ya waliotajwa wanaostahili kulipwa kutokana na Uhakiki huo kukamilika yanapatikana >>> BONYEZA HAPA