March 11, 2018

Download wimbo mpya: Angel Benard - Utukumbuke.

Angel Benard amekuja tena na wimbo wake mpya, wenye kuinua uitwao Utukumbuke ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Still Alive zilizopo jijini Nairobi nchini Kenya.