• Isikupite Hii

    March 3, 2018

    Download wimbo: Siku za nyongeza - Joseph Mwakangale.

    Habari! Leo tena tumepata fursa ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa mmoja wa waimbaji wa muziki wa injili wanaofanya vizuri katika industry hio Bw. Joseph Mwakangale. Wimbo unaitwa Siku za nyongeza. Enjoy MTU wa Mungu.