March 1, 2018

Jinsi ya kutambua na kumsaidia mwanamke kufika kileleni.

Mwanamke kuchelewa kufika kileleni sababu na ufumbuzi sake
Katika suala la kufanya mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana.

Ukweli ni kwamba ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo la ndoa kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya maandalizi ya awali kabla ya tendo.

Kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na sababu za kimaumbile. Ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila
unauwezo wa kumfanya mwanamke kufika kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo, itakubidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa, kumbusu na kumpapasa sehemu za siri ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya mwanamke kufika kileleni kwa wakati muafaka.

Je, unamsaidiaje mwanamke kufika kileleni?.
“Wanaume wanatamani sana kuwafikisha wanawake zao kileleni,  lakini hushindwa”.

Mara nyingi wanaume hushindwa kabisa kuwasaidia wake zao kufika kileleni. Kama unaona mke wako haridhiki na wewe katika tendo la ndoa,  kuna mambo ya kufanya.

Kwanza kabisa kabla ya yote,  fahamu kwamba,  Wanawake hawawezi kufika kileleni kirahisi kama wafikavyo wanaume. Hivyo unahitaji kumpa muda zaidi mwanamke ili nae afike kileleni.

1. Tengeneza mazingira ya kumfikisha kileleni.
Ili kumfanya mwanamke afike kileleni mtengenezee mazingira ya msisimko. Wanawake hawasisimkwi na msisimko wa mwili tu,  wanasisimkwa kiakili na kimwili ;  viwili hivyo lazima viende pamoja. Hivyo,  unatakiwa pia umsisimue kifikra.

Weka mazingira na hali inayovutia kimapenzi.  Kitanda kizuri, godoro zuri na sehemu tulivu na yenye hali inayovutia kimapenzi humfanya ajisikie kupendwa na hutamani alale na wewe,  hata wewe mwenyewe utajisikia starehe. Wanawake wanapenda uhuru na faragha.

2. Mchezee (Mwandae).
Ili kumfanya mke wako afike kileleni,  kama tulivobainisha hapo juu,  unatakiwa umsisimue zaidi na zaidi. Hakika bila kumsisimua hafiki!  Wanawake wanahitaji kuchezewa muda mrefu kuliko wanaume.

Fahamu jinsi ya kumshika na fahamu sehemu sahihi zinazompa ashki,  maana wanawake hutofautiana. Ukiona anapenda unachofanya.

3. Zingatia muda.
Ni muhimu kwamba ujue ni muda gani yuko tayari kufika kileleni. Usimharakishee!! Muache afurahie jinsi unavyomshika na kumbusu. Muda ukifika utajua tu kuwa sasa yuko tayari. hapo tumia nafasi yako kumfikisha kileleni kwa ushindi!

4. Usihofu kuhusu ukubwa wa uume.
Tatizo ni kwamba kila mwanaume anaona uume wake katika mtazamo kwamba ni mfupi. Basi kama utaona uume wako ni mfupi hakika utakuwa mfupi kweli,  tena mfupi zaidi ya tofauti na unavyofikiria.

Uume ambao haujasimama,  kipimo chake kwa kawaida ni sm 8.5 na sm 10.5 (inchi 3 – 5) kutoka sehemu yake ya awali kabisa.  Hata hivyo,  umbo la kawaida la wastani ni sm 9.5 (inchi 3.75),  lakini kipimo hiki hakina maana sana.

Vipengele vingi vinaweza kusababisha kunywea kwa uume kwa inchi mbili au zaidi. Kwa mfano, hali ya baridi, au kuogelea.  Hivyo,  usihofu kama uume utanywea.

Hata hivyo ni kweli kwamba baadhi ya wanaume wana uume mkubwa na wengi wana uume mdogo,  kama ilivyokwamba baadhi ya wanaume wana miguu mikubwa na wengine wana miguu midogo.
Usihofu ukubwa wa uume wakati wa kumfikisha kileleni

NB: Watu wengi wanadhani kwamba,  watu warefu wana uume mkubwa,  hii si kweli kabisa.

Jambo la kuvutia ni kwamba, dhakari nyingi sana huwa na ukubwa mmoja pindi zinaposimama. Kitu kimoja ambacho wanaume wengi hawajui ni kwamba, urefu wowote wa uume wako utakavyokuwa,  uke utaendana na urefu huo.

Wanawake wengi wanatabia ya kudanganya kuwa wamefika kileleni kumbe hata kileleni kwenyewe hajuwi ni wapi.

Mara nyingi wanatumia mbinu ya kudanganya kama wanafika kileleni kwa kupiga kelele za kimahaba na wapo ambao huongea kabisa, utawasikia “ooh bebi I’m coming”.

Hapo mwanaume utajiona dume la mbegu kumbe “hutoshi”. Wakati mwingine wanaume wanapata taabu sana kujua kama ni kweli wamewaridhisha na kuwafikisha wake zao au lah!
Jinsi ya kumsaidia mwanamke kufika kileleni haraka,
Jinsi ya Kumsaidia Mwanamke Kufika Kileleni Mapema

Msaidie Mwanamke Kufika Kileleni Mapema
Jambo la msingi kabisa ni kwamba wote wawili kuwa tayari kkufanya mwapenzi.

Yaani kupendana na kujaliana sana, halafu kuwa tayari kwa tendo hilo kimwili, kimawazo na kiakili.

Kutokuwa tayari kwa kufanya mapenzi, kwa mfano kwa sababu ya kuogopa ujauzito, inamzuia mtu yeyote kufikia mshindo.

Kama wote wawili mpo tayari, kufikia mshindo au kutofikia kunategemea maandalizi ya awali ya mapenzi.

Mnatakiwa kukubaliana jinsi mtakavyofanya mapenzi ili kila mmoja wenu aweze kufurahia na kuridhika.

Kwa uhakika, kila mwanamke na mwanaume anazo sehemu maalumu ambazo ukigusa basi ni rahisi sana kufikia mshindo.

Upeo wa hali ya kujamiiana pia unaweza kufikia kwa kupiga punyeto. Kwa mfano, mwanaume anaweza kugusa uume wake au mwanamke anaweza kusugua taratibu kinembe mpaka anafikia mshindo. Kupiga punyeto ni njia i iliyo salama ya kumaliza hamu ya kutaka kufanya mapenzi na haina athari mbaya kiafya.

Je, kwa nini mwanamke akigongwa na uume kwenye uke hasa kwenye kisimi, uke huzidi kulowa maji?

Kugusana kwa kutumia viungo vya uzazi ni njia mojawapo ya kuamsha hisia ya kujamii ana.

Kama mwanamke anatoa majimaji baada ya kugusana na uume kwenye uke, ina maana kwamba ameshikwa na ashiki kubwa.

Majimaji hayo yanarahisisha uume kupenya ukeni. Chanzo cha majimaji hayo ni vifuko maalumu vilivyomo ndani ya uke.

Dalili za mwanamke kufika kileleni:

Misuli ya uke huachia dalili ya kwanza mwanamke kufika kileleni.
 Mwanamke anapokaribia kutaka kufika kileleni utaona misuli kuzunguka uke kama inakaza na kuachia hivyo hivyo kwa sekunde kadhaa na utaona wazi mheshimiwa akibanwa na kuachiwa hivi. Ni wakati huu mwanaume hatakiwi afike kileleni kwani atamwacha mwenza wake pabaya sana.

Kadri mwanamke anavyokaribia kufika kileleni ndivyo na kasi ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke itakavyokuwa inaongezeka.

Kitendo hiki cha uke kumbana na kumwachia mzee kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka mwanamke amefika kileleni.

Uke huzidi kuloa maji ni dalili ya pili mwanamke kufika kileleni.
Hapa sasa unaweza kuwa na uhakika kwamba ameshafika mlimani kabisa.

Haya maji maji au utelezi kidogo unaotokea hapa ndiyo tunaweza kusema ni kukojoa kwa mwanamke na hapo ndiyo na yeye anakuwa amefika kilelelni kama vile manii yanavyomtoka mwanaume anapofika kileleni.

Kwahiyo wanawake nao huwa wanakojoa katika tendo la ndoa na ndiyo wakati huo yeye huhisi raha ambayo ni vigumu kuielezea.

G-spot inapopata msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kukojoa. G-Spot ni sehemu ipo sehemu ya juu ya uke wa mwanamke inch 2 kutoka juu kwenye mlango wa uke.

Hamu hii ya kutaka kukojoa wanawake wengi huipata katikati ya tendo la ndoa kuanzia dakika ya nane kwenda juu mpaka ya 15 au 20, wengine wanaweza kuipata wakati wa maandalizi kama mwanaume anajuwa kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.

G-spot inapopata msisimko wa kutosha, inatoa taarifa kwa homoni ya kike kutengeneza hayo majimaji yakiwa tayari. Mwanamke utajisikia kutaka kukojoa na ukijiachia ili yatoke yatapitia kwenye urethra kama mkojo lakini sio mkojo bali ni majimaji ya kufika kileleni.

Wanawake wengi wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa wanajisikia kama kukojoa na wanaomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya kufika kileleni.

Unashauriwa wakati mwingine kabla ya kushiriki tendo la ndoa ukojoe kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe kitupu ili katikati ya tendo ukisikia kukojoa ujue unakaribia kufika kileleni. Kwahiyo jiachie na uwe huru ili uweze kupata raha na utamu wa kufika kileleni.

Si wanawake wote wanaweza kutoa majimaji mengi, kama ikitokea hujatokewa na hali hii usijisikie vibaya bali ujuwe kuwa upo katika kundi la wale wanawake ambao wakifika kileleni uke wao huwa unazidi kuloa badala ya kutoa maji kama mkojo kabisa.

Miguno na makelele ya kimahaba huongezeka ni dalili ya tatu mwanamke kufika kileleni.
Kelele za Mahaba Huongezeka ni dalili ya mwanamke kufika kileleni

Kelele za Mahaba Huongezeka
Hapa uwe makini kidogo. Wapo wanawake wao huwa na kelele wakai wote tangu mnaanza mpaka mnamaliza, mwanamke wa namna hii anaweza kumchanganya mwanaume asiye mjanja kutambua hizi ni kelele za kufika kileleni au ni kelele za kawaida tu.

Wanawake wengi wamedanganya waume zao kwa kutumia mtindo huu na mwisho wa siku huwa hata hawajafika kileleni. Utaweza kujua kuwa anadanganya pale kelele au miguno yake ikiwa katika mpangilio unaoeleweka kwa mfano (oooh yeah,oooh yeah,ooh yes kama cd iliyorekodiwa, hapo ujuwe unadanganywa).

Kelele za kufika kileleni mara nyingi huwa hazieleweki na wala huwa hazina mpangilio maalumu. Kwa kawaida kelele huwa za undani kidogo zikiambatana na lugha ya mwili inayoendana na makelele au miguno anayoitoa.

Kinyume na hapo ujue anakudanganya.

Chuchu kuwa ngumu ni dalili ya nne ya mwanamke kufika kileleni.
Kwa kawaida mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya kujamiiana, matiti yake huvimba kutokana na ongezeko la kasi ya mzunguko wa damu katika mwili wake, lakini chuchu zake huwa zinakuwa za kawaida.

Hata hivyo kuna baadhi ya wanawake chuchu zao zinakuwa ngumu pale matiti yakivimba (hawa ni wachache sana).

Hivyo ni mhimu ujue mapema kabla hata tendo la kupeana raha na utamu halijakolea.

Pale mwanzoni tu unapokuwa unapashana nae joto, jaribu kuzigusa au kuziminya chuchu zake taratibu kama ukiona ni laini halafu baadae katikati ya tendo zikabadilika zikawa ngumu, basi ujue upo uwezekano ama ulifanikiwa kumfikisha kileleni au alikaribia kufika lakini hakufanikiwa.

Ikiwa umezikuta ngumu tokea mwanzoni basi huwezi tena kuzitumia chuchu kama dalili ya kukujulisha kuwa amefika kileleni au bado.

Lugha ya mwili ni dalili ya tano ya mwanamke kufika kileleni.
Hapa anaweza kuwa anahema haraka haraka kwa sababu ogani zake za ndani na mishipa yake vitakuwa vinahitaji oksijeni zaidi ili aweze kufika kileleni salama.

Hivyo hivyo atazidisha kujikunjakunja, kujinyonganyonga au kujisogeza kwako. Kama atakuwa ametulia tu ujue bado hivyo ongeza bidii zaidi.

Unaweza kuona pia mikono yake anaikunjakunja hata kufinya shuka.

Kama mpo kwenye staili ile ya kizamani wengine hupenda kuiita ‘kifo cha mende’ utashangaa ghafla anaanza kukumbatia na kukushikilia kwa nguvu, heee kama kucha zake ndefu anaweza kukuachia alama kadhaa mgongoni au kifuani wakati mwingine anaweza akashindwa kujizuia akakung’ata kabisa!!!