March 31, 2018

Mapambo 20 bora ya ukumbi wa harusi 2018. (Part 2)

Pengine we ni mpambaji kama mimi, ama unatafuta mpambo mzuri kwa ajili ya harusi yako, ndugu yako ama rafiki yako, Karibu sana timheaven.com hapa ni mahali sahihi kabisa kwa ajili.

Wengine wanaamini kwamba sherehe ni chakula, ni kweli kabisa lakini mimi naamini sherehe bora ile iliyopambwa vizuri, hata hamu ya kula chakula inaongeza huku ukipiga self zako kwa uhuru kabisa bila kuwa na wasiwasi wowote na kuzipost kwa jamaa zako. Hapa tumekusogezea mapambo 20 bora zaidi kwa mwaku huu.