March 16, 2018

Sifa 11 za wanaume wasio tumia akili.

1. Mwanaume anaetelekeza Mke na watoto kisha kukimbilia kwa kimada 

2. Mwanaume anaemtesa Mke aliemtoa kwa wazazi wake.

3. Mwanaume anaeombwa urafiki na dem fb kisha akaingia inbox kumtongoza.

4. Mwanaume anaekaa kijiweni na wanaume kisha wakawa wanamsema mwanaume mwenzao.

5. Mwanaume anaemtukana demu aliemkataa.

6. Mwanaume anaesifia mafanikio ya Mwanaume mwenzie bila kuongeza juhudi.

7. Mwanaume anajifanya yeye sijui team nan nae.

8. Mwanaume anaeweka beauty camera kwenye simu yake.

9. Mwanaume anaetongoza kwa kujifanya hana familia nae pia.

10. Mwanaume anaemdharau Mke wake na kumjali mchepuko bila shaka atakuwa .

11. Na Mwanaume mwenye sifa hizo akasoma baada ya kubadilika akaanza kutukana.